Video + Audio - Eddy Kenzo Ft. Alaine - "Addicted". Download .Mp3
Msanii kutoka Uganda na BET Award winner anayezichukua headline kila mara kutokana na muziki wake kuzikonga nyoyo za watu hasa video zake, Edirisa Musuuza maarufu kama Eddy
Kenzo, anajivunia kucollaborate na msanii wa Reggae na mwandishi mashairi ambaye ni Mjamaika Mmarekani , Alaine.
2017 anakuletea wimbo huu “Addicted”,ukisindikizwa na video, ucheki hapo chini.....
2017 anakuletea wimbo huu “Addicted”,ukisindikizwa na video, ucheki hapo chini.....
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA