New Audio: 'Panadol' — Radio & Weasel ft Dr Jose Chameleone
Hatimae ile kolabo ya 'Panadol' kutoka Uganda ya wasanii wa kundi la Goodlyfe yani Radio na Weasel wakimshirikisha mkongwe wa muziki nchini humo Dr Jose Chameleone ndio hii, sasa unaweza kuipakua hapo chini...
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA