Sanyansi na Teknolojia: Mauzo ya Kampuni ya Apple yasemekana kushuka.
![]() |
| Moja ya maduka ya Apple |
Kampuni ya Apple imeripoti kushuka
kwa mapato yake ya mwaka kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2001. Matokeo ya
robo ya mwisho ya mwaka wa fedha nchini Marekani imethibitisha mwenendo
wa robo mbili zilizopita kuwa mapato yalishuka kwa asilimia tisa.
Wachambuzi wanasema kuwa ni dalili ya kuwepo kwa bidhaa nyingi za simu sokoni.
Robo ya mwisho inaisha muda mfupi baada ya kuongezeka kwa iphone 7, kunamaanisha kuwa matokeo ya mauzo katika bidhaa mpya hazitoshelezi katika takwimu za hivi karibuni.
Stori na BBC Swahili.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA