Rapper J. Cole amefanikiwa kupata double platinum kwa kuuza kopi zaidi
ya milioni 2 za album yake, 2014 Forest Hills Drive bila collabo yoyote, hii ikiwa ni kwa mujibu wa Recording Industry Association of America.
Msanii wa Marekani J. Cole ameandika rekodi mpya katika muziki wa hip hop.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, October 24, 2016
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA