Hifadhi kubwa ya viumbe Bahari kujengwa Baharini.
![]() |
| Hivi ni baadhi tu ya vivutio vinavyopatikana chini ya bahari. |
Bahari ni eneo kubwa sana la maji lenye viumbe na mimea ya kila aina, huenda wakwetu ungependa kufahamu baadhi ya viumbe na mimea inayopatikana baharini.
Sasa leo nimekutana na hii stori inayoelezea mikakati ya kujenga hifadhi kubwa ya viumbe bahari chini ya bahari.
Miaka ya mazungumzo ya kimataifa imefikia kilele chake kwa makubaliano ya kujenga hifadhi kubwa ndani ya bahari katika maji safi ya Antaktika.

Nchi ya New zealand na
Marekani zimepewa jukumu la kusimamia 1.57 milioni kilomita za mraba za
eneo la bahari zinazolindwa katika bahari ya Ross, ambayo ni makazi ya
mamilioni ya penguins.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA