Tattoo hizi zinaweza kutuma na kupokea
taarifa, kuunganisha wireless na smartphone kupitita NFC ambayo ni aina
ya teknolojia inayotumika kwa ajili ya malipo kwa njia ya simu
aidha inatumia betri inayoitwa Lithium polymer.
Tupia macho video hii hapo chini.....
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA