Kutoka kwa Nay Wamitego. Anakuletea Wimbo mpya unaoitwa NYUMBANI KWETU. Hizi ni ladha
na style mpya ukiangalia muziki ambao tumezoea kumsikia Nay akiwa
anafanya. Lakini kipaji kinamruhusu kufanya vitu vya tofauti na basi ni
wajibu wake kisanaa kufanya vitu tofauti. Jipakulie hapa....
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA