VIDEO: YEMI ALADE, VANESSA MDEE, VICTORIA KIMANI, WAJE - "STRONG GIRL"..
‘Strong Girl‘ ni wimbo wa pamoja ulioimbwa na mastaa wa kike kutoka Afrika
ambao wameungana pamoja kupambana na umaskini kwa wasichana na wanawake
katika jamii. Miongoni mwa mastaa waliopo kwenye wimbo huo ni pamoja
na Vanessa Mdee (Tanzania), Victoria Kimani (Kenya), Waje (Nigeria), Yemi
Alade (Nigeria), Semor Mtukudzi (Zimbabwe), Gabriella (Mozambique), Arriele
T (Gabon) na binti...
The post Vanessa Mdee, Victoria Kimani, Yemi Alade pamoja kwenye hii Video…
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA