Msanii
wa kundi la TMK Wanaume Family, Chege Chigunda a.k.a mtoto wa mama Saidi ametoa
video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Mwananyamala’. Video hii imefanywa na Adam
Juma. Itazame hapa.
.
VIDEO: CHEGE - "MWANANYAMALA".
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Friday, May 15, 2015
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA