Ule wimbo mtamu unaopendwa na watu wengi hasa pale wakati wa request redioni, sasa umefanyiwa remix. Msanii BARAKA DA PRINCE anakuletea remix ya wimbo wake wa "SIACHANI NAWE" akiwa amemshirikisha LINAH..... Usikilize hapo...
BARAKA DA PRINCE Ft. LINAH - "SIACHANI NAWE" (REMIX). MP3
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, May 04, 2015
Rating: 5
thanks for sharing and good information
ReplyDelete