FILAMU YA "FAST & FARIOUS 8" YATANGAZWA.
Baada ya
mafanikio makubwa ya Fast 7 sasa wametangaza ujio wa “Fast and Furious 8″. Filamu hii ambayo ni blockbuster imetangazwa
kutoka April 14,
2017 wakati wa maelezo kuhusu Fast and Furious 8 yaliyotolewa na mwigizaji wa
filamu hio Vin
Diesel.
Filamu ya Furious 7 ni moja kati ya filamu 20 zilizo weza kuuza mamilioni ya dola. Hata hivyo filamu hii ya Furious 7 imewashangaza wengi baada ya kuonekana kuvuka matarajio katika upande wa filamu kwa mwaka 2015.


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA