Wimbo Original uliimbwa na BEN POL - "Sophia", lakini baada ya hapo Idea ilizidi kuenea hadi kwa Peter Msechu na hatimae sasa imefika kwa msanii QUICK ROCKA ambae amekuletea Reggae Version ya wimbo wa "SOPHIA" ambao ni kazi ya BEN POL.........
AUDIO: QUICK ROCKA - "SOPHIA" (Reggae Version). mp3
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Saturday, April 11, 2015
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA