AUDIO: AYLER - "SOPHIA". MP3
Hii
ni cover ya nne ya wimbo hit single ya Ben Pol ‘Sophia’. Hii ya sasa imefanywa
na Ayler. Tayari Peter Msechu, Quick Rocka na Ney Lee wamefanya zao.
Lakini Ayler
kwenye wimbo huu yeye ameimba tofauti na wenzake waliotangulia kuurudia wimbo huu, yeye anamtaka mpenzi wake kumpeleka nje ya nchi kula bata badala ya kwenda mikoani.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA