Yule staa anayeitangaza vyema Tanzania kimataifa VANESSA MDEE au V. MONEY ameachia video yake ya wimbo mpya aliyomshirikisha msanii kutoka Afrika ya kusini K.O, wimbo unaitwa "NOBODY BUT ME".... sasa itupie macho hapo chini.....
VIDEO: VANESSA MDEE Ft K.O - "NOBODY BUT ME".
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Friday, March 27, 2015
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA