LINEX akimshirikisha Diamond Platnumz katika wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "SALIMA" ambao
leo hii ameuachia katika media mbalimbali.
Bonge la wimbo mtamu ambao wote wametulia katika utamu wa SALIMA, naamini utaufurahia pia hapa....
Linex Ft. Diamond Platnumz - "SALIMA". MP3
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, March 12, 2015
Rating: 5
Anachonifurahishaga Linex ni LANGUAGE_MIXER yake2
ReplyDelete