Ngoma mpya ya kundi la District 9 wakiwa wamemshirikisha Ms Rizzy. Ngoma
inaitwa Don’t Touch Me na imetayarishwa na Hermy B kwa kushirikiana na
Pancho Latino.
Audio: District 9 - "Don't Touch Me". MP3
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, March 19, 2015
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA