Joh Makini kutoka Weusi ameachia video ya wimbo wake mpya ‘XO’ aliomshirikisha G-Nako. Video imeongozwa na Nisher.