Ile video ya wakali wa Mwanza yani YOUNG KILLER akimshirikisha FID Q na BELLE 9 katika wimbo wa "13" sasa unaweza kuitupia macho katika blog yetu hapo chini....
VIDEO YA YOUNG KILLER Ft. FID Q & BELLE 9 - "13". IMESHATOKA IKO HAPA.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Friday, November 21, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA