Video ya ‘Mfalme’ ya Mwana FA f/ G-Nako imetoka rasmi mtandaoni. Video iliongozwa na kutayarishwa na Kevin Bosco Jr. wa Decent Media, Kenya. .