Muimbaji wa Uganda Desire Luzinda ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao
‘Ekitone’, ikiwa ni ishara sasa amerejea katika maisha yake ya kawaida na
kazi zake za muziki zinaendelea baada ya kutikiswa na kashfa ya kuvuja kwa
picha zake za utupu hivi karibuni....
.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA