Msimu wa Christmas ndiyo huu unakaribia sasa na huu ndo wimbo mpya maalum
kwa Christmas kutoka kwa Lameck Ditto. Ditto ambaye ameandika nyimbo nyingi
ambazo ni hits kubwa katika muziki wa Tanzania wimbo huu unaitwa “Heri ya
Christmas”...
.
CHRISTMAS SONG: DITTO LAMECK - "HERI YA KRISTMAS". (DownloadMP3)
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Thursday, November 27, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA