Msanii
Khalid Chokoraa ambaye pia ni bondia wa kulipwa anakuletea track yake
mpya Maneno amabapo amemshirikisha mzee wa Kigodoro a.k.a Msaga Sumu.
Hii ni colabo ambayo siyo ya kawaida lakini matokeo yake yamekuwa ni
mazuri kupindukia. Download wimbo mpya sasa.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA