Sikiliza hapa wimbo wa wakongwe wa miondoko ya kizazi kipya wakiwa ndani ya project ya WAY BACK TEAM itakayokuwa ikiwakusanya wakongwe na kuachia ngoma pamoja na kupiga show mbali mbali, sasa sikiliza hili jiwe hapo chini (WAKALI WA HIZI)....
NEW AUDIO: WAY BACK TEAM (SOGGY, JUMA NATURE, INSPECTOR, SUMA G & HAMMA Q) - "WAKALI WA HIZI". MP3
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Wednesday, October 22, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA