Filamu mpya ya Vincent ‘Ray’ Kigosi VIP: The President’s Daughter imeingia
mtaani. Waigizaji wengine walioshiriki kwenye filamu hiyo ni pamoja na
Jacqueline Wolper, Gabo na Hamisa Mobeto.
FILAMU MPYA YA RAY "V.I.P: THE PRESDENT'S DAUGHTER" SASA INAPATIKANA.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Friday, October 31, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA