Kupakua wimbo wa "Bang Fellaz" kutoka Kilimanjaro Moshi wakiwa
wamemshirikisha Defxtro katika ngoma inayokwenda kwa jina la "Binti Majengo" Vocal na
mixing zikiwa zimefanyika pande za Noizmekah Studios Arusha..... Bofya hapo chini...
AUDIO: BANG FELLAZ Ft. DEFXTRO - "BINTI MAJENGO". MP3
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Wednesday, October 29, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA