Header Ads

Breaking News
recent

WIMBO MPYA WA "ALI KIBA" TAYARI WANUKIA.

Baada ya msanii wa miondoko ya Bongo Flava maarufu kama ALI KIBA kuwa kimia kwa takribani miaka miwili, na kuwaachia washindani wake kuvinjali katika tasnia hiyo, sasa amerejea upya kwa kuanza kuachia hii cover ya wimbo wake mpya kupitia mtandao wa Instagram, wimbo utaachiwa siku za karibuni... endelea kutembelea site hii kuusikiliza wimbo huu mara utakapotoaka.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.