Rapper wa kike, Cindy Rulz, Young Killer na Belle 9 wanaonekana kwenye
video ya wimbo mpya wa Young Dee, ‘Rock Star’. Video hiyo imeongozwa na
Mkenya, Enos Olik huku wimbo huo ukitayarishwa kwa ushirikiano wa
Maximilian, Erastone Machine, Moses Kinanda na Allan Mapigo.....
.
VIDEO YA 'YOUNG DEE' - "ROCKSTAR".
Reviewed by
KISHINDO TZ
on
Saturday, July 19, 2014
Rating:
5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA