Msanii kutoka Uganda Jose Chameleone amedondosha tena wimbo mpya unaoitwa "CALLING ME" ikiwa ni siku chache tu zilizo piata alipotoka kuachia wimbo mpya unaoitwa "WALE WALE". Basi kamata wimbo mpya wa Calling Me hapo chini.....
JOSE CHAMELEON - "CALLING ME". MP3 (NEW SONG).
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Tuesday, July 08, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA