Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya, Lameck Ditto ametoa video ya wimbo wake
mpya “TUONGEZE BIDII”. Hii inakuwa ni Video yake ya Tatu toka ameanza
kuimba kama mwimbaji wa kujitegemea.
.
NEW VIDEO: LAMECK DITTO - "TUONGEZE BIDII".
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Saturday, June 21, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA