Wednesday, May 7 2025

Header Ads

NEW SONG: VANESSA MDEE - "HAWAJUI". MP3


BOFYA hapa usikilize..."HAWAJUI"

LYRICS

HAWAJUI
Nahreel wussup wussup wussup wussup

VERSE 1
Kila kitu majaliwa kupata nimebarikiwaga
Nini tilalila usiku mchana unabwabwaja
Kwako mi mpira unanicheza unavyotaka
Kila siku beki leo kipa nimekudaka

BRIDGE
We mwanadamu gani uliyekosa aibu
Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu
Huishi Zogoa Zogoa
Kila Siku Zogoa Zogoa
Ukilala Zogoa Zogoa

CHORUS
Hamjui tu nyie, alichonifunza Mama na na ndiyo maana hamuishi kutukana x2

VERSE 2
Choko choko ndiyo mambo mliozoea
Kuweka vigenge na makundi mkiniongelea ah ah
Eti naringa, nikishinda mnavimba, hamuishi kuniwinda Mungu ndiyo ananilinda

BRIDGE
We mwanadamu gani uliyekosa aibu
Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu
Huishi Zogoa Zogoa
Kila Siku Zogoa Zogoa
Ukilala Zogoa Zogoa

CHORUS
Hamjui tu nyie, alichonifunza Mama na na ndiyo maana hamuishi kutukana x2
We mwanadamu gani uliyekosa aibu
Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu
Huishi Zogoa Zogoa
Kila Siku Zogoa Zogoa
Ukilala Zogoa Zogoa


Written by: Barnaba, Vanessa Mdee, Noel Mkono

Produced: Nahreel

Leave a Comment

Powered by Blogger.