Header Ads

Breaking News
recent

KIFO CHA GEORGE TYSON CHAWASHTUA WADAU WA FILAMU NA TV NCHINI.

Mwili wa aliyekuwa muongozaji wa vipindi vya Luninga na filamu hapa nchini Marehemu George Tyson, ukitolewa katika hospitali ya mkoa wa Morogoro tayari kwa kusafirishwa kuelekea jijini Dar es salaam. George alifariki kwa ajali ya gari tarehe 30/05. Mwili unatarajiwa kuagwa katika viwanja vya Leaders Club siku ya Jumatano. R.I.P George Tyson.

Msanii AY akiwa ni miongoni mwawatu waliokuwa katika mchakato wa kuusafirisha mwili wa George Tyson kuufikisha Dar es salam.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.