Mwanamuziki mwenye mvuto kwa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya Bongo, maarufu kama Diamond Platnumz, amezidi kumimina picha katika mitandao yake ya kijamii, ambapo wengi wanahisi huenda ikawa ni utengenezaji wa video yake ya wimbo wa "Mdogo Mdogo".
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA