Header Ads

Breaking News
recent

SONG: PARADISE - "SIYAWEZI". MP3

Habari zenu wadau wote wa music,namleta kwenu msanii anaitwa  PARADIZE msanii kutoka Mara Musoma, lakini kwasasa anaishi Arusha.
 wimbo huu unaitwa "Siyawezi".wimbo umefanyika ktk studio za fnouk zilizopo jijini Arusha chini ya mtayarishaji Samtimber kutoka Fnouk Music Studio ya Arusha.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.