MSANII WA BONGO MOVIE ALIYEFARIKI NI "ADAM KUAMBIANA"
Msanii wa maigizo na muongozaji wa filamu za Kitanzania (Bongo movies), Adam Kuambiana, amefariki dunia ghafla asubuhi ya leo.
Akizungumza na EATV mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere, amesema Adam Kuambiana amefariki wakati wakiwa location, wakiandaa filamu.
Mwili wa msanii huyo, umepelekwa katika hospitali ya Muhimbili, kwa uchunguzi zaidi...... (Sorce: EATV)
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA