Header Ads

Breaking News
recent

KIPINDI CHA "DANGER ZONE LIFE CHAZUNGUMZIA TAMASHA LA "KUMBU KUMBU YA EDWARD MOLINGE SOKOINE 2014". MP3

"UTAIFA KWANZA" ndio wimbo mtamu unaosikika katika masikio ya wazalendo wa nchi hii ya Tanzania, bila kujali wadhifa au kipato cha mzalendo.

 Katika kipindi cha "Danger Zone Life" kinachoruka katika blog za kitanzania kila wiki huku kikiongozwa na "Chota Boy", leo kimezungumzia kuhusu utaratibu wa kufanyika "SOKOINE MEMORIAL MARATHON 2014". Sasa sikiliza hapo chini.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.