SHAKIRA NDIYE MSANII WA MUZIKI ANAYEONGOZA KWA "LIKES" ZA FACEBOOK DUNIANI.
Mwimbaji mrembo Shakira wa Colombia ndiye mwanamuziki mwenye ukurasa wenye
likes nyingi zaidi duniani kwa sasa katika mtandao wa kijamii wa Facebook
baada ya kufikisha likes 86,549,477.
Anayemfuatia kwa karibu ni Rihanna aliyeshirikiana naye katika hit single ‘I Can’t remember to forget you’, ambaye ameshika nafasi ya pili kwa kuwa na likes milioni 86,271,591 huku wa tatu ni Eminem ambaye ana "Likes" milion 83,935,160 kwa mujibu wa metro.co.uk.
SASA TAZAMA HAPA TOP 10 YA MASTAA HAWA WA MAJUU NA "LIKES" ZAO.

1 Shakira – 86,420,722 likes
2 Rihanna – 86,271,591 likes
3 Eminem – 83, 935, 160 likes
4 Cristiano Ronaldo – 76,148,074 likes
5 Michael Jackson – 71,605,480 likes
6 Vin Diesel – 70,112,311 likes
7 Katy Perry – 65,694,061 likes
8 Will Smith – 64,732,390 likes
9 Justin Bieber – 64,167,464 likes
10 Lady Gaga – 63,776,647 likes

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA