Header Ads

Breaking News
recent

ALI KIBA AUKANA WIMBO UNAOITWA "ROSA" ADAI HAUTAMBUI.

Kupitia tovuti maarufu ya burudani hapa nchini (Bongo5) imefunguka kile msanii wa miondoko ya bongo flava maarufu kama Ali Kiba, kuukana na kudai kuwa hautambue wimbo mpya ulioenea mitandaoni kuwa ni wimbo wake mpya. Wimbo huo unaitwa "Rosa".

Sasa sikiliza hiyo audio kutoka Bongo 5.....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.