Header Ads

Breaking News
recent

TAMTHILIA YA HER MOTHERS DAUGHTER (Episode ya 39) CELYN NA MARGAUX WAZIDI KUZINGUANA.

Baada ya wasichana warembo kuambiwa kuwa wote ni ndugu na mmoja wapo yani Celyn kukubali kwenda kuishi kwa baba yake "Julio" ambaye pia  ni baba yake wakambo na Margaux, sasa majungu na chuki vyatawala kati ya wasichana hawa, Celyn na Margaux.

Baada ya siri kufichuka kuwa Teresa alimficha binti yake Celyn asionane na familia ya Julio, akihofia kuwa watamchukuwa kwasababu alipandikizwa mimba ili awazalie mtoto, sasa wakubaliana kuwa baadhi ya siku katika wiki, Celyn atakuwa anakwenda kulala kule kwa akina Margaux, na siku nyingine analala kwao kama kawaida.

Lakini yote hayo hayajamfurahisha Margaux, kwani anaona kama Celyn amechukua kila kitu kutoka katika familia yake, hasa pale anapowakuta kila mara mama yake akiongea na Celyn, akimwandalia chakula kama mtoto mdogo, laikini pia ni pale alipotengenezewa bonge la chumba kizuri kushinda cha Margaux.

Bado Teresa anahofia kunyang'anywa Celyn, hivyo anaamua kwenda kwa mwanasheria ili apewe kizuizi cha kisheria ili Beatrice asiendelee kumtishia kumchukua Celyn. Teresa anafanikiwa kupata kizuizi hicho, lakini mengine yanaibuka pia, ni kuhusu mwandishi wa habari amenasa habari kuwa Beatrice alimlipa Teresa ili amzalie mtoto, kitu ambacho ni kinyume cha sheria.

Hivyo Beatrice kusikia hivyo anaanza kunywea na kwenda kumuomba dada yake Teresa asiseme ukweli kuwa alipewa pesa. Teresa anaingiwa huruma na kwenda hadi kwa mwandishi wa habari na kumwambia kuwa kuwa, hakulipwa na Beatrice bali aliamua kumsaidia tu kubeba mimba yake kwasababu ni dada yake.

Ethan bado mambo yake ni magumu, kulingana na majukumu makubwa ya kifamilia aliyo nayo, Celyn anapata habari kuwa Ethan siku hizi hahudhulii masomo chuoni. Celyn anaamua kwenda hadi anakofanyia kazi Ethan na kumkuta ni akishiriki mashindano ya magari. Celyn anakasirishwa na kitendo hicho, anamkanya kuwa ni hatari kwa maisha yake, hivyo arudi masomoni, kwani hapendi kumuona akiwa hivyo.

 Baada ya wasichana warembo kuambiwa kuwa wote ni ndugu na mmoja wapo yani Celyn kukubali kwenda kuishi kwa baba yake "Julio" ambaye pia  ni baba yake wakambo na Margaux, sasa majungu na chuki vyatawala kati ya wasichana hawa, Celyn na Margaux.

Baada ya siri kufichuka kuwa Teresa alimficha binti yake Celyn asionane na familia ya Julio, akihofia kuwa watamchukuwa kwasababu alipandikizwa mimba ili awazalie mtoto, sasa wakubaliana kuwa baadhi ya siku katika wiki, Celyn atakuwa anakwenda kulala kule kwa akina Margaux, na siku nyingine analala kwao kama kawaida.

Lakini yote hayo hayajamfurahisha Margaux, kwani anaona kama Celyn amechukua kila kitu kutoka katika familia yake, hasa pale anapowakuta kila mara mama yake akiongea na Celyn, akimwandalia chakula kama mtoto mdogo, laikini pia ni pale alipotengenezewa bonge la chumba kizuri kushinda cha Margaux.

Bado Teresa anahofia kunyang'anywa Celyn, hivyo anaamua kwenda kwa mwanasheria ili apewe kizuizi cha kisheria ili Beatrice asiendelee kumtishia kumchukua Celyn. Teresa anafanikiwa kupata kizuizi hicho, lakini mengine yanaibuka pia, ni kuhusu mwandishi wa habari amenasa habari kuwa Beatrice alimlipa Teresa ili amzalie mtoto, kitu ambacho ni kinyume cha sheria.

Hivyo Beatrice kusikia hivyo anaanza kunywea na kwenda kumuomba dada yake Teresa asiseme ukweli kuwa alipewa pesa. Teresa anaingiwa huruma na kwenda hadi kwa mwandishi wa habari na kumwambia kuwa kuwa, hakulipwa na Beatrice bali aliamua kumsaidia tu kubeba mimba yake kwasababu ni dada yake.

Baada ya wasichana warembo kuambiwa kuwa wote ni ndugu na mmoja wapo yani Celyn kukubali kwenda kuishi kwa baba yake "Julio" ambaye pia  ni baba yake wakambo na Margaux, sasa majungu na chuki vyatawala kati ya wasichana hawa, Celyn na Margaux.

Baada ya siri kufichuka kuwa Teresa alimficha binti yake Celyn asionane na familia ya Julio, akihofia kuwa watamchukuwa kwasababu alipandikizwa mimba ili awazalie mtoto, sasa wakubaliana kuwa baadhi ya siku katika wiki, Celyn atakuwa anakwenda kulala kule kwa akina Margaux, na siku nyingine analala kwao kama kawaida.

Lakini yote hayo hayajamfurahisha Margaux, kwani anaona kama Celyn amechukua kila kitu kutoka katika familia yake, hasa pale anapowakuta kila mara mama yake akiongea na Celyn, akimwandalia chakula kama mtoto mdogo, laikini pia ni pale alipotengenezewa bonge la chumba kizuri kushinda cha Margaux.

Bado Teresa anahofia kunyang'anywa Celyn, hivyo anaamua kwenda kwa mwanasheria ili apewe kizuizi cha kisheria ili Beatrice asiendelee kumtishia kumchukua Celyn. Teresa anafanikiwa kupata kizuizi hicho, lakini mengine yanaibuka pia, ni kuhusu mwandishi wa habari amenasa habari kuwa Beatrice alimlipa Teresa ili amzalie mtoto, kitu ambacho ni kinyume cha sheria.

Hivyo Beatrice kusikia hivyo anaanza kunywea na kwenda kumuomba dada yake Teresa asiseme ukweli kuwa alipewa pesa. Teresa anaingiwa huruma na kwenda hadi kwa mwandishi wa habari na kumwambia kuwa kuwa, hakulipwa na Beatrice bali aliamua kumsaidia tu kubeba mimba yake kwasababu ni dada yake.

Chuki ya Margaux, sasa amchimba mkwara kutozungumza na Ethan. Ethan naye ajaribu kutupa ndoano kwa Celyn lakini za ambulia patupu.

Tayari Margaux ameanza kumuuliza mama yake wa kambo aliko toka, na ninani aliye mfikisha kwao. Beatrice naye aanza kuhaha, na kumtafuta mjomba wake na Celyn, je atakuwa na siri gani iliyobakia? Fuatilia dondoo zijazo hapa hapa.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.