Header Ads

Breaking News
recent

NEW SONG: STOPA RHYMECCE & ANK JOZ Ft. NEY LEE - "SAVE ELEPHANT & RHINOS". MP3

Mwanamuziki wa miondoko ya kizazi kipya maarufu kama Stopa Rhymecca, amesoma nyakati kwa kuachilia wimbo mpya unaoelezea njinsi rasilimali za taifa zinavyopotea hapa nchini, hivyo ameamua kutoa wimbo unaozungumzia kuokoa maisha ya "Tembo na Faru", usikilize hapo chini.....

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.