Header Ads

Breaking News
recent

D'KNOB KURUDI TENA KWA KISHINDO NA WIMBO MPYA - "NISHIKE MKONO".

Mkali wa Hip Hop nchini anajulikana kwa jina D’Knob ameamua kuuvunja ukimya wa muda mrefu na kuamua kurudi tena kwenye game mwaka huu 2014. D’Knob anatarajia kutoa wimbo wake mpya tarehe 4 mwezi huu wa pili akiwa amemshirikisha msanii wa kike anayejulikana kwa jina moja tu MWASITI. Nishike Mkono ndio jina la wimbo huo mpya......

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.