Header Ads

Breaking News
recent

AsiliYetuTz: UGOMVI WA MAKUNDI MAWILI YA WASANII WA MUZIKI JIJINI ARUSHA, WAPATA MWAFAKA.

Jambo Squad na MeccaCheka siku ya Jumatano tarehe 26 Februari tulikutanishwa Noizmekah kujadili tofauti zetu, sasa Tumepatana na hakuna beef tena. 

Shukrani kwa mashabiki zetu wote tunawapenda, tegemeeni ngoma za pamoja toka kwetu Jambo Squad na MeccaCheka kama ishara ya amani na upendo kati yetu vijana, wasanii wa Tanzania, Peace & Love TAZAMA VIDEO HAPA...

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.