AsiliYetuTz: KALA JEREMIAH AKITENGENEZA VIDEO YA WIMBO WA "WALE WALE (REMIX).
Kala Jeremiah ameanza kushoot video ya wimbo wake ‘Wale wale’ Remix ambayo
amewashirikisha Juma Nature, Ney Lee na rapper mwenzie kutoka Mwanza Young
Killer. Kala ameiambia Bongo5 kuwa wameanza ku-shoot video hiyo jana na
director Pablo, yule yule aliyefanya video ya ‘Wale wale’ original version
na wanatarajia kumalizia ku-shoot leo.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA