Kama hukupata nafasi ya kuitazama video mpya kabisa ya rapper Ney Wa
Mitego ya ngoma yake ambayo sasa hivi ni inafanya vizuri sana katika
media tofauti inayojulikana kama Nakula Ujana, basi huu ndio wakati
wako wa kuitazama video hii....
.
VIDEO MUSIC: NAY WA MITEGO - "NAKULA UJANA".
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Wednesday, January 15, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA