Msanii wa miondoko ya kizazi kipya, Diamond bado anaonekana kung'ara katika matamasha mbali mbali ya nje na ndani ya Tanzania. Katika picha hizi msanii huyu aliwapagawisha mashabiki wake kule nchini Kenya wakati alipoalikwa kutumbuiza kwenye hafla iliyoandaliwa na kampuni ya Safaricom.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA