Header Ads

Breaking News
recent

NEW VIDEO: JOH MAKINI, NIKKI WA 2 & G. NAKO - "NJE YA BOX".

Director Nisher ameufungua mwaka kwa kishindo kwa video kali ya Joh Makini, Nick wa Pili na G-Nako ya wimbo wao uliotoka mwaka jana. Video ilifanyika mapema mwezi huu jijini Arusha na kutumia siku tano kushoot. Wimbo ulitengenezwa na Nahreel pamoja na Chizan Brain.
 .

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.