Baada ya Latino Nation kufanya vizuri sasa msanii Dj Choka ameamua
kuachia project yake mpya inayokwenda kwa jina la Stinga ambapo ndani ya
project hii amevishirikishwa vichwa vikali ambavyo ni M-Rap, Janjaro,
Pluto, Country Boy, Mis Rizzy & Young Dee. Isikilize ngoma hii hapa
chini...
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA