ASILI YETU TANZANIA BLOG INAWATAKIA WADAU WAKE HERI YA MWAKA MPYA 2014.
Wasomaji wote wa blog hii ya ASILI YETU TANZANIA timu nzima ya blog hii inapenda kuwatakia heri ya Christmas na mwaka mpya wa 2014.
Tumepitia changamota nyingi za kila aina katika kukuhabarisha wewe mdau wa habari na burudani, lakini kwa upendo wake Mora tutazidi kukuhabarisha wewe mdau wetu.
Cha zaidi usikate tamaa katika mambo muhimu uyafanyayo, hata kama yamechelewa mwaka wa 2013, basi jipange na uanze nayo katika mwaka wa 2014.
Pia tunakukaribisha u-like ukurasa wetu wa Facebook (ASILI YETU TANZANIA) na Tweeter (ASILI YETU TZ).

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA