Sikiliza hapa wimbo mpya kutoka kwa
Mike a.k.a Michael Lukindo (Mtangazaji pia) aliomshirikisha
Joh Makini, wimbo unaitwa
"Likizo", ambapo juzi nilikuwekea hapa pia Audio teaser ikiwa katika video. Sasa sikiliza wimbo huu mpyaa hapa chini kwani unamahadhi ya R&B na Hip Hop pia...
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA