Wimbo huu maalum umeimbwa na msanii Izzo Buziness kwaajili ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa marehemu Albert Mangwea a.k.a Ngwair, November 16. Wimbo umetengenezwa na mtayarishajiwa muziki maarufu kama Mswaki.Wimbo unaitwa "Happy Birthday Ngwair".
Sikiliza wimbo huu hapa....
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA