Hii ni sehemu ya saba ya kipindi cha TV cha Wema Sepetu - "In My Shoes" ambapo wiki hii ilimuonyesha akionekana kuleta mgogoro na mafundi waliokuwa wakipaka rangi nyumba yake... tazama hapa..
VIDEO YA WEMA SEPETU "In My Shoes" (Episode 7) KUHUSU MAREKEBISHO YA NYUMBA YAKE.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Friday, November 29, 2013
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA